Youtube channel Information and Statistics

Get Youtube channel Information and Statistics all at one place.




Uhondo TV

KANUNI NA MUONGOZO YA UHONDO TV Uhondo TV Online ni chombo cha habari kinachozingatia weledi na maadili yanayoongoza katika tasnia ya habari. Tumejikita katika kuripoti taarifa zote za kijamii ikiwemo habari za kitaifa, kimataifa, michezo, burudani n.k. Tunazingatia misingi ya uhariri katika habari kwa kufuata yafuatayo: i. Kuripoti habari za ukweli wakati wote ii. Kusaidia kurekebisha taarifa zilizopotoshwa kwa jamii ili kuwapa ukweli wafuatiliaji wetu kwa wakati sahihi. iii. Kufuata kanuni na misingi ya habari kwa kuripoti habari zenye uwiano na kutoa fursa sawa kwa pande zote MUONGOZO: Wafuasi wetu (subscribers) i.Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake ii. Uhondo TV ina uhuru wa kufuta maoni yoyote yasiyo na maadili au yenye lugha chafu iii. Uhondo TV ina uhuru wa kumzuia mfuatiliaji aliyekiuka masharti asiweze kuona habari zetu au kuweza kuweka maoni. iv. Uhondo TV haitahusika moja kwa moja na maoni yatolewayo na wafuasi wetu ikiwemo lugha zisizofaa n.k

Channel Created on: 28/Jul/2017

Total Subscribers: 599000

Total Videos: 29018

Total Views: 123095424





Youtube Trend in other Countries