Youtube channel Information and Statistics

Get Youtube channel Information and Statistics all at one place.




BINGO ONLINE TZ

MUONGOZO WA CHANNEL YA BINGO ONLINE TZ. BINGO ONLINE TZ inakupa updates za burudani na zinazotrend masaa 24 kuwahusu watu maarufu kwenye burudani ya Tanzania . Sisi kama BINGO ONLINE TZ kwasababu tunawafikia watanzania wengi hivyo tunazingatia misingi ya uhariri kwa kufuata:- -Kuripoti Habari kwa kutoa fursa sawa pande zote. -Kuepuka uchochezi kwa kujiepusha na udini, ukabila na mambo yote yanayoweza chochea uchochezi. -Kuripoti habari za kweli -kurekebisha taarifa zilizopotoshwa kwa wafuatiliaji wetu (subscribers na unsubcribers) Lakini pia kwa Walio subscribe channel yetu -sisi kama BINGO ONLINE TZ huwa tunafuata maoni ya Subscribers wetu hivyo kila mtu ana haki ya kutupa maonii yake na yakafanyiwa kazi. -lakini pia kwa wale wachochezi kupitia channel yetu ambao wao hutumia comments kwenye habari zetu tuna uwezo wa kuwaondoa ili kuzuia uchochezi. INSTAGRAM PAGE Link: https://www.instagram.com/bingoonlinetz/ Email bingoonlinetz@gmail.com Contant Us +255674777784

Channel Created on: 17/Jan/2017

Total Subscribers: 1400000

Total Videos: 11862

Total Views: 169721369





Youtube Trend in other Countries